Nenda clock tower kuna duka linaitwa outo sukoni-dar,au ule mtaa wa kisutu barabara morogoro kuna maduka mengi ya mashine za kusaga
Kuna chimbo nimekuta kuna mashine ya kusaga na kukoboa Mpya kabisa hazijawahi kutumika za ZZK Mbeya ngoja nikuangalizie kama tunaweza kufanya biashara.
bei zake?