Msaada wa ufadhili hata kwa "contract"

Msaada wa ufadhili hata kwa "contract"

Mkaruka

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
19,932
Reaction score
34,916
Habari WanaJF.Nina NDOTO ya kusoma MD,Nimesoma PCB(2012)IIa POVERTY Holds me back.Tatizo ADA.HELP ME OUT P'SE 0659364407
 
Habari WanaJF.Nina NDOTO ya kusoma MD,Nimesoma PCB(2012)IIa POVERTY Holds me back.Tatizo ADA.HELP ME OUT P'SE 0659364407

mkuu, haujatoa maelezo ya kutosha; elimu yako, umri, unafanya kazi wapi, umepata chuo wapi? btw, heslb mbona wanatoa mikopo aslmia mia kwa wanafnzi wa md! ww umeomba mkopo mara ngapi ukakosa? na mwaka huu bajeti imeongezwa watu watapata sana mikopo, ukizingatia 2015 uchaguzi lazima waandae mazingira.
 
Nilihitimu 2012 kidato cha 6,Sikufanikiwa kupata Direct qualifications.DIV III With single principal.Ni DIP na NIMEKAA 2
 
Nilihitimu 2012 kidato cha 6,Sikufanikiwa kupata Direct qualifications.DIV III With single principal.Ni DIP na NIMEKAA 2

Lugha naona kama haijanyooka. Au ndo unaanza kupractice udaktari kwa mwandiko?
 
Kaka ni umasikini tu unaonisumbua LAKINI Nina QUALIFICATIONS zote za kusoma 'Diploma'
 
Back
Top Bottom