Viwanja viwanja goba

Viwanja viwanja goba

Mtanzania haswa

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
663
Reaction score
100
Wadau gharama ya kununua kiwanja ambacho hakijapimwa ni kubwa mno ikiwemo kubomolewa nyumba na kuambiwa
matumizi ya hapo ulipojenga siyo makazi na hapawezi kupimwa.

Hivyo basi tumeamua kuwaletea viwanja vilivyopimwa na matumizi yake ni makazi. Unaponunua unapewa nyaraka ambazo zitakusaidia wewe kupata hati na pia kusaidiwa kufuatilia hati yako.

Viwanja vipo GOBA MTAMBANI unaweza kufika kwa kupitia makongo ambapo ni 9km kutoka makongo na pia kupitia mbezi tangi bovu ambapo pia ni 9km.

Bei ya mita za mraba moja ni 13,000,Mfano unahitaji kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 600 (20x30) = 600x13000 = 7,800,000/= chagua kiwanja hapo chini ktk ramani na get in touch 0713 348165. KARIBU
viwanja.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom