Natafuta taa ya Verossa upande wa Kulia

Natafuta taa ya Verossa upande wa Kulia

Stoudemire

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2012
Posts
839
Reaction score
208
Habari,

Jamani naweza kupata wapi taa ya Verossa upande wa kulia.

Anayefahamu na bei plz maana nimepaki gari nimekuta wamegonga wamekimbia.
 
Msaada wajameni nasubiri majibu yenu.

Natanguliza shukran zangu za dhati
 
Back
Top Bottom