Wakuu nimezoea kuona haya madilisha ya aluminium ya rangi mbili nyeusi na nyeupe na hata kama utaona rangi tofauti kwa watengenezaji hazipo kama kuna mtu anafanya hii kazi na yupo mwanza...
:clock:
Wapendwa wafanyabiashara wenzangu, ninaomba mtu awayeyote yule atakayekuwa ana laini ya TIGOPESA na anataka kuiuza kwa mtu au amesikia mtu anauza laini hiyo aniuzie mimi
Namba zangu ni...
Mitsubishi Pajero Short Chasis, inauzwa kwa bei ya sh. Million 7.5. Inatembea niko kwenye hali nzuri. Tatizo ililonalo ni la Umeme tu. Specifications: Deasel engine, Manual transmission, short...
WanaJF natumai ni watu walioenda Shule na wenye Pro zao, yyt mwenye Dili anitonye linalohusu MECHANICS, DRILLING(MGODINI), au MARKETING RESEARCH OPPORTUNITIES, nilikuwa napiga kazi Mgodini NORTH...
Lina ekari 30,lipo along barabara ya Mkuranga-Kisarawe Road,100 mita kutoka shamba la Mama Salma kikwete.Umeme ushafika kijijini Hoyoyo.Linafaa kwa kuweka shule,yadi au kiwanda na kwa watu wa Real...
Natafuta chumba cha kupanga, kinondoni, sinza, maeneno ya mwenge, na msasani. kiwe masterroom, hali nzuri, kinafikika kwa urahisi na kisiwe uchochoroni.Kuna mdau bachelor anahamia dar hivyo...
Wadau,
Photocopy mpya kabisa INAUZA,hutajuta kununua..Imetumika miezi 3 tu...bei ni 1.5 m,nauza kwa sababu nabadilisha biashara.
Kama unaitaka piga 0767205419.
Mahali ilipo;Ubungo Dar es saalam...
tunauza kiwanja chetu kikubwa wastani goba kwa shilingi million 18 tu. kimepimwa NA kiko karibu NA barabara. ukitaka kukiona inaruhusiwa wakati wowote. utajiridhisha kwa namna yoyote NA...
StanBic utaratibu mlio weka mwezi huu unatutesa. tunalala njaa , check inaletwa tarehe 18 ili wafanyakazi tarehe 21 tuwe tumepata mshahara mpaka sasa mshahara bado, wengine hatuna pesa. mnasema...
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa mita za mraba 3081 kilichopo Block F eneo la Mwangaza Dodoma jirani na reli usawa wa Martin Luther School kwa bei ya Sh. 8,000,000/= (terms 33yrs). Eneo hili lipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.