Nauza Camera

Nauza Camera

Kizitonga

Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
32
Reaction score
0
Habari zenu Wanajamii,
Nauza Digital camera.
Aina:Sony cybershot
Megapixel:14.1
Zooming:5x28 optical zoom
Colour:Black
Memory:4GB
Ina charger yake,USB na bag.
Bei ni 300,000/-.Maelewano yapo
Kwa anayehitaji piga 0716 212983

N.B.Nimeshindwa kuupload picha ili muione but bado ni mpya.
 
weka picha mkuu. Kushindwa kuweka picha wakati unataka biashara ifanyike ni sawa na kutafuna msosi halafu unasema "............nimeshindwa kumeza bhana ila chakula kitamuuuuuu......"
Kwa hiyo unaishia kutafuna tu. Sasa sijui unatafuna mpaka saa ngapi?
 
NAUZA CANON EOS 400, 10megapixel tsh 650000 piga simu 0712652100
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom