Wanajamvi, natafuta Frem ya biashara maeneo yafuatayo.
- Sinza
- Mwenge
- Kijitonyama
- Kariakoo
Sifa zinazotakiwa, iwe inatazama barabara kuu za mtaa au kwenye mkusanyiko wa watu wa kutosha...
Nauza Toshiba laptop
inch 15,
silver color,
2gb ram,
120 hdd,
inakaa na chaji lisaa limoja.
conatcts
0715353108
0756144060
mwamamalekela@gmail.com
reason for sale = nimenunua nyingine so i am...
Habari wa ndugu!! kama kuna mtu anahitaji nguo, viatu au kitu chochote kutoka india naomba anichek!! mm nina mtu kule nitamwagiza nitakuletea mzigo wako mpaka ulipo kwa garama tutazokubaliana...
Habari wadau
Nina emergency ninahitaji mkopo wa 6million, nitarudisha baada ya miezi 2 plus interest, nina gari kwa ajili ya collateral
Mwenye nia na uwezo wa kusaidia tuwasiliane kwa 0789737699
helow waungwana natafuta radio bomba la kula Mziki hom, iwe angalau na vikorombwezo vya kutosha yan cd, USB, tap etc... Pia iwe na spika kubwa zenye ujazo wa mziki wa adabu....mwenye NAYO anipe pm...
Model: hp pavilion xt1000 (13 inches)
HDD: 160GB
RAM: 2GB
Processor: 2.0GHz
DVD/RW writer
Webcam
Touch screen
Comes with stylus pen
Finger print
Wireless n Bluetooth
Comes with adapter
for ONLY...
VI'm looking for a network marketing (MLM) leader or someone with network marketing experience and those who are interested in Tanzania! If that's you or you know someone who is, message my inbox...
Kama upo miji ya Dar, Pwani, Moro na Dodoma naweza kukuletea hadi ulipo na kwa miji mingine tunaweza kupanga.
Ni BB za ukweli toka kwa watengenezaji halisi Blackberry ltd mwanzo walijulikana kama...
Morning to all friends.
Back in city of jam from Arusha Na sasa napenda kuchukua fursa hii tena kuwaalika kwenye Business Meeting itakayofanyika JB Belmont pale PSPF 4th floor alhamis ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.