Hello;
Nina mzigo wa mbao za mninga zenye ujazo wa 2*10*10,yeyote anayehitaji kununua kwa jumla au rejareja anaweza niambia anahitaji kiasi gani na tutaongea kuhusu bei kutokana na idadi ya mbao...
Hi wadau
ninayo Suzuki ambayo inasumbua sumbua na nimepata wazo la kununua engine complete na geer box. Suzuki yenyewe in Milango 3 na ipo moshi.
napendelea engine automatic iliyokwenye hali nzuri...
Wakuu salamu
kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa yeyote ambaye angependa kujifunza AUTOCAD BASIC as aided design kwa ajili ya kazi zako za kila siku hasa kwa TECHNICIANS NA ENGINEERS...
HP ProBook 4540s Notebook inauzwa ni mpya imetumika kwa miezi miwili(2) sababu za kuuza nikutaka kujiupdate tuu, mzigo unapatikana MBEYA pia kama upo DAR au DODOMA unataletewa. BEI Laki 9...
Ninatengeneza themes za wordpress, drupal au joomla, Blogger au Dotnuke kwa tsh 100,000 tu.
Pia nihost website kwa tsh 15,000 tu kwa mwezi.
Ku-design na kufanya setup katika server (plus one...
Wana jf naomba msaada wa anaefahamu nyumba za wageni nzuri na safi sinza...ziwe zina price range ya twenty five to fifty thousand. Na zisiwe mbali sana na shekilango road. Natanguliza shukrani
kiwanja kinauzwa kipo kigambon mikwambe kipo
karibu kabisa na kwa mizengo pinda kiwanja kina
ukubwa wa miguu ishirini ya mtu mzima kwa
mapana na marefu kipo kwenye mtaa ni kiwanja
cha kawaida...
kiwanja kinauzwa kipo kigambon mikwambe kipo
karibu kabisa na kwa mizengo pinda kiwanja kina
ukubwa wa miguu ishirini ya mtu mzima kwa
mapana na marefu kipo kwenye mtaa ni kiwanja
cha kawaida...
Jamani napenda kuwataarifu kwamba nina stori yangu naiyuza kwa wale watunzi wa vitabu na bongo movie
kwa maelezo zaidi nipigie au nitumie smg kwenye no.0653301787
Msaada wadau nimenunua muda wa maongezi mkubwa kuliko niliokuwa nahitaji kupitia M-PESA.
Nilikuwa nahitaji 10000 bahati mbaya nikanunua wa laki moja.Kama kuna mdau amewahi kutana na hii kitu...
Lorenzo Fashions Dar, your trusted suppliers of European brand suits in Dar es Salaam at whole sale prices…we are proud to inform our customers that we now have a new suits display point...
LOCATED NEAR SALMA KIKWETE'S FARM WITH 20 ACRES(sqm 80000),ELECTRICITY IS ALREADY INSTALLED IN THE VILLAGE.FARM LAND IS LOCATED ALONG MKURANGA -KISARAWE ROAD,SUITABLE FOR BUILDING A...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.