Sumba-Wanga
JF-Expert Member
- Feb 2, 2011
- 5,353
- 1,235
Habari za leo wanajamvi?
Naomba msaada wa kupata Msichana wa Kazi wa Uhakika.
Mshahara ni maelewano, ila inaweza hata kufikia Tshs. 50,000, inategemea na uzoefu na ufanyaji wa kazi.
Kituo cha kazi kitakuwa ni Morogoro