nyumba nyumba nyumba inauzwa tabata barakuda

nyumba nyumba nyumba inauzwa tabata barakuda

Erick kg

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2013
Posts
314
Reaction score
73
nyumba inauzwa maeneo ya tabata barakuda ina sifa zifuatazo ina vyumba vitatu,..master bedroom ikiwa imewekwa air condition chumbani ina vioo vya aluminium ina jiko ndani, store, public toilet kwa vyumba viwili vilivyobakia imwekwa gypsum...iko karibu na barabarani tabata barakuda stendi...inshort nyumba iko poa kwa bei nafuu ya millioni 136...nicheki kwa namba ya simu 0717 022737
 
Ukubwa wa plot je? Ina sqm ngapi? Ina title deed? Tiririka plz!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom