Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Natafuta suzuki pickup carry ya kununua.ili katika hali zuri sana , tel 0713 95 92 90
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada nimpate fundi wa printer yangu hp photosmat 15550 haiprint black na red colour.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SPECIFICATIONS Hard disc 300gb ram 4gb procesor 2.8 BEI 450000 0768497592 nipo dar es salaa
0 Reactions
2 Replies
911 Views
Namtafuta rafiki yangu anaitwa Lemias C.Mkude nilikuwa nasoma naye Ifunda Technical School-Iringa,mara ya Mwisho kuonana naye ilikuwa mwaka 2000.Huyu jamaa alikuwa ni mwenyeji wa Morogoro na...
0 Reactions
1 Replies
728 Views
Habari zenu wanaJF, Nimejipanga kwa mda nahitaji kupata usafiri na kati ya magari hapo juu naomba mwenye uzoefu ni lipi bora zaidi interms of durability fuel consumption na kama kuna iniherent...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
call 0716 567467 tigo pesa laki nane m pesa laki mbili na maashine ya max malipo laki 4.5 price are negotiable your welcome
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamii, Mtajwa hapo juu ni rafiki yangu tulopotezana tangu mwaka 2008. Alimaliza Sheria UDSM mwaka 2006. Mara ya mwisho alikuwa ni Solicitor Mtwara. Mwenye kujua 'whereabouts' zake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nauza gari aina ya toyota carina ------ ya nyani bei milion sita na nusu, mmiliki wake ni mmoja na imetunzwa vizuri sana,picha zitakuja soon, if ur interested just pm me.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nilikuwa mahali fulani office mjini mara nikaona vijana wawili wakiongea mmoja akawa anaondoka mara mwenzake akamwita!Jamaa akamjibu niache bwana mimi natafuta demu Jeiefu!! Nikasikia roho...
0 Reactions
6 Replies
911 Views
photocopy machine used from uk inauzwa bei nzuri..IR3170Ci
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Ninauza dagaa kutoka bukoba wasio na mchanga kabisa. Kama unahitaji tuwasiliane kupitia namba 0713 44 75 10. Karibu sana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Helo JF. Nauza vits ipo kwenye hali nzuri na ina one user since iwe imported hapa nchini. PlateBei ni sh 6.6 million kwa mawasiliano nicheki kwenye 0716-369299. Sent from my BlackBerry 9800 using...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa anayehitaji mayai ya kuku wa kisasa jumla na rejareja kwa bei na fuu, ni makubwa na fresh, mayai hayakai more than one day bila kumfikia mtumiaji, uwasiliane kwa no. 0758768855 pia tembelea...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu nimeokota Driving lecence yenye number hizi 4000107086 , kwenye DCM la mwenge - mbagala rangi 3 jina la mwenye leseni ni : Hassani Saidi Kilumbi. kwa mwenye kumfahamu huyu jamaa au yeye...
0 Reactions
1 Replies
939 Views
basi linauzwa, hino rainbow, 1988 reg 26 seater, 3899 cc manual ushuru ni juu ya mnunuzi, ipo bandarini, mwenyewe ameshindwa kuitoa na ndio maana anaiuza bei milioni 18 tu. Piga simu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Eneo la mbezi juu karibu na kanisa la TAG mbuyun. Ukubwa upana hatua 20 kwa 30 umeme upo karibu maji kwa gari. Bei 6ml mapatano baada ya kuona. Cont. 0715500248
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu Nauza flash 8 gb kwa 13000/= warrant mwaka mmoja zinapatikana jordan university nina duka pale kwa mawasiliano piga 0683672508 kama mtu yupo morogoro atahitaji afike hapo chuo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Desktop Hard Drive Disk capacity - 2TB = 2048GB Price - 160,000 Pia maelewano yapo kama umepungukiwa fika banana stand ya mabasi yaendayo kitunda or call 07-13/89 - 444 993
0 Reactions
1 Replies
1K Views
viwanjaviwili vyenye ukubwa wa ekari 20 vyenye hazina ya madini aina ya dhahabu vinauzwa mkoani geita, vimepakana na mgodi unaoendeshwa na kampuni kubwa ya geita gold mine, viwanja vina hati...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
internal harddisc ya 1 TB ya laptop na ram ya 4 GB MI TAKUACHIA ZA LAPTOP YANGU HHD YA 320 GB RAM 2GB NNA LAKI MOJA TU
0 Reactions
1 Replies
906 Views
Back
Top Bottom