Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
Namtafuta rafiki yangu anaitwa Lemias C.Mkude nilikuwa nasoma naye Ifunda Technical School-Iringa,mara ya Mwisho kuonana naye ilikuwa mwaka 2000.Huyu jamaa alikuwa ni mwenyeji wa Morogoro na alinieleza kuwa baba yake mzazi alikuwa ni Hakimu mkazi hapo Morogoro. Kwa yeyote mwenye taarifa au mawasiliano yake tafadhali anijulishe.Asante wadau..! Huyu jamaa pia alikuwa anaitwa Lemias Segu Mkude