Eneo la mbezi juu karibu na kanisa la TAG mbuyun. Ukubwa upana hatua 20 kwa 30 umeme upo karibu maji kwa gari. Bei 6ml mapatano baada ya kuona. Cont. 0715500248
mbezi juu ya upande wa bagamoyo? am interested. mmiliki ni mmoja au familia? ikifika 5m natoa cash
Kama hatua 20 ni sasa na mita 10 au 9 hapo unajenga nyumba ya vyumba 4 bas hata gari huwez kupak ni vema mtu ukajenga gorofa