Dagaa wasio na mchanga wanapatikana

Dagaa wasio na mchanga wanapatikana

kamsongole

Senior Member
Joined
Apr 20, 2013
Posts
111
Reaction score
15
Ninauza dagaa kutoka bukoba wasio na mchanga kabisa. Kama unahitaji tuwasiliane kupitia namba 0713 44 75 10. Karibu sana.
 
Tangaza biashara yako vema mkuu. sema kg moja bei gani, uko wapi? nk lakini unaposema mtu aku -pm kwenye biashara ya siku hizi....mmmhhhhhh! mimi nachelea utapata watu wachache wa kufanya hivyo kama wapo. Mimi mwenyewe nataka dagaa lakini nataka open business
 
kipimo kinaanzia 1000, kgs tshs 10000. niko kibaha. ukihitaji kama uko dar unaletewa. pia waliokaangwa tayari wanapatikana. asante.
 
mbona hujui kuweka details za biashara mkuu? Au umeagizwa ufanye hivi!
1 kg = tsh. . . .?
Derivery ni kuanzia kg ngapi . ..?
 
1kg = 10,000 derivery kwa dar tunaanzia kilo mbili.karibuni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom