Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nauza kiwanja mivumoni 20*20 mitasqr tshs. Mil6 Barabara ipo ila umeme upo kama km1, maongezi yapo ni PM or txt; 0656063933.utajibiwa
0 Reactions
9 Replies
2K Views
natafuta batter au mtu wa kubadilishana nae au hata wa kununua just PM
0 Reactions
0 Replies
763 Views
Hi wakuu, nahitaji mziki wa ukweli wa kagari kangu, iwe inauwezo wa dvd, mp3, flash, memory card nk. Naomba ushauri ni wapi naweza pata na bei zake. natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Imetumika miezi saba bado mpya kabisa..bei ni ya kutupa 190 inapungua..kama unahitaji nitafute 0689545870 Memory Card slot No Internal 8 GB storage, 256 MB RAM Camera Primary 5 MP...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya Bigwa Morogoro,kina ukubwa wa heka moja,kina miti michache ya mitiki,bei ni 15m kwa mwenye kuhitaji ani pm!
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Iphone 4s for sale laki 5 na nusu mpyaa na kila kitu na boksi lake kabsaaa
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Ipo nyeusi imetumika ila katika hali nzuri inauZwa 230000
0 Reactions
1 Replies
804 Views
salaam kwanza natafuta cmu nzuri iwe symbian au window phone pich a ztahitajika na bei ykifata maelewano.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Kama unatumia simu ya Nokia E61i,naomba unisaidie kama inauwezo wa kutumia whatsapp
0 Reactions
2 Replies
776 Views
Wadau nauza pikipiki tajwa hapo juu. Pikipiki ipo katika hali nzuri sana, na ni electric self starter. Ina uwezo wa kwenda umbali mrefu bila kusimama(nishawahi kutoka nayo dar hadi Arusha afu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Haya wakuu huyu mtu anahama nchi kaamua kuwaachia wahitaji vitu vya ofisini na nyumbani. Vyote vinauzwa kama vilivyo-USIje kuuliza hee mbona mtoto hana mguu. Laptop HP -50,000 Photocopier IR 2018...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Jamani wana MWANZA hasa BUHONGWA kama kuna mtu anakiwanja na anahitaji kukiuza tafadhali aniPM
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ninauza camera hii kwa sh laki 2 tu,12 megapixels,zaidi maelezo yanajieleza mbele ya camera ukisoma,mawasiliano 0768808819 ama ni pm
0 Reactions
0 Replies
807 Views
haya wana jamii forum wenzangu wenye pesa zenu kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa kipo mbweni malindi takriban mita 400 tu kutoka baharini chenye ukubwa wa square meters 1400 ( miguu 28 kwa 50 )...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
The DVD & Audio CD "Kupunguza Unene Na Kitambi" is now available and will soon be launched. This is a joint Project between ConsNet Group and The Eastern Africa Professionals & Business Network -...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu. Naomba msaada wa alternator ya bmw 318i,ya mwaka 2002,chessis no.WBAAZ72000NG01993 mwenye kuweza nisaidia please pm ahsanteni
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nauza hii camera ni 10mp,kwa sh laki tatu aliye serious anaweza kuwasiliana na mimi kwa simu yangu 0768808819 ama ni pm,
0 Reactions
0 Replies
944 Views
Top ten reasons to drink argi, acts to release anti aging hormones, affects insulin sensitivity so it is particularly useful in maintaining blood glucose control. reduce blood cholesterol...
0 Reactions
0 Replies
834 Views
Back
Top Bottom