nauza toyota carina

nauza toyota carina

Osaba

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
1,943
Reaction score
808
nauza gari aina ya toyota carina ------ ya nyani bei milion sita na nusu, mmiliki wake ni mmoja na imetunzwa vizuri sana,picha zitakuja soon, if ur interested just pm me.
 
Kama unaweza kushuka hadi million 3 ni pm nije kuiangalia km itanifaa
 
Daah milion tatu bado sana kama ungeiona ungekubali sana tu, kila kitu kuanzia injini,body hadi ndani halafu ni full ac unaweza kwenda nayo popote tu.
 
Mkuu ni CARINA Ti au Si?
1500 cc au 1800 au 2000cc?
Weka picha tafadhali mkuu.
 
nauza gari aina ya toyota carina ------ ya nyani bei milion sita na nusu, mmiliki wake ni mmoja na imetunzwa vizuri sana,picha zitakuja soon, if ur interested just pm me.

Manual au Auto?
Mileage ikoje?
 
nauza gari aina ya toyota carina ------ ya nyani bei milion sita na nusu, mmiliki wake ni mmoja na imetunzwa vizuri sana,picha zitakuja soon, if ur interested just pm me.

ImageUploadedByJamiiForums1381840029.312342.jpg
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1381840051.370803.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1381840051.370803.jpg
    139.6 KB · Views: 74
Back
Top Bottom