Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Inafaa kwa biashara na makazi, inatizamana na barabara ya morogoro, jirani na kituo kipya cha mabasi ya mwendo kasi, kodi maelewano. Inbox au piga 0784570595, dalali hatakiwi
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa aliye na simu hiyo, ni tumie sms 0683125001
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Natafuta rangi ya gari.gari yangu imekwanguka sehemu sijui wanapouzia
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samsung galaxy s4 gt 19500 iko ndani ya guarantee ya two years. Hadi risiti ,box yake mpaka ear phones zake, kila kitu unapewa kama dukani vile. Changamkia dili utimize ndoto zako.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
nyumba iliyopo kwenye uwanja mkubwa inauzwa ubungo kibangu, unaweza kujenga nyumba nyingine ya vyumba vitatu...(robo tatu acre) location:ubungo kibangu maji; yapo kwa jirani umeme upo parking...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Laptop inauzwa...ni hp duo core ram GB 2..2.80GHZ..bei maelewano contacts 0758491458
0 Reactions
2 Replies
967 Views
tunajishughulsha na urembo wa nyumba nguzo,kona,madilisha fance na kuendelea.mawasiliano:allympenzwa@gmail.com au 0719999526
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyosema, nauza ipod yangu original ya 8GB sh 80,000/. Kama unaitaji nicheki kwenye 0716-369299 Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ekilele ni kile kibuyu kidogo che mshikio mrefu huwa kinatumiwa na wagurusi kule Bukoba. Kwa anayejua mahali ninapoweza kukipapa anijuze.
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nina laki 550 nahitaji line ya tigo pesa
0 Reactions
2 Replies
851 Views
Eneo la ufukwe (beach) wa ziwa Victoria jijini Mwanza linauzwa! Linafaa sana kwa classic hotel au nyumba ya kuishi! Lina ukubwa wa ekari 3 na liko eneo la Kayenze Ndogo nje kidogo ya jiji la...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hellow wadau Mwisho wa Mwezi huu nahitaji kununua Samsung HD Flat Screen 21" au 22" lakini kutokana na kahela kangu toka kwa bosi wangu "Kanyibay" sitokuwa na uwezo wa kununua MPYA,hivyo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam ? natafuta gari ya kununua LAND ROVER FREELANDER Iwe ina km zisizozidi 100,000 pia isiwe imetumika hapa kwetu Tz, substitute yake iwe NISSAN X-TRAIL DIESEL Tafadhali mwenye nayo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nunua ticket za kwenda kuwaunga mkono siku ya chakula duniani na pia kufurahi na michezo na mashindano tofauti,pale Hoteli ya Golden tulip,siku ya jumamosi,tarehe 19 mwezi huu wa kumi.Ticket ni...
0 Reactions
0 Replies
838 Views
All graduates who are looking for job, we are inviting you for a special 3 hours training on: 1. 1. Job Search...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nahitaji iphone 5 zilizo kwenye hali nzuri bila scratches kabisa. Budget yangu ni laki sita kwa kila moja. Kama unauza nipm or nichek at 0717301520
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Helo JF. Nauza vits ipo kwenye hali nzuri na ina one user since iwe imported hapa nchini. Bei ni sh 6.6 million. Kwa mawasiliano nicheki kwenye 0716-369299.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salam wana jamii. Nina eneo la ukubwa wa ekari zaidi ya nne. Ila ninauza ekari moja kwa bei ya Tsh 5,000,000/= Eneo lipo mtaa wa kidimu, mita kama 100 kutoka Bara bara ya Lumumba / njia ya...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Samsung galaxy s3 clone nauza kwa Tshs 300,000..tu imetumika mwezi mmoja.. Interna mmry 16gb Android version 4.2.1 RAM 1gb. Line mpaka uikate Google Playstore.. Kila app ya android inafanya...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
mwenye gari kati ya zifuatazo gx100. altezza. rav4 au 6cylinder yeyote ani pm fasta nimpe hela kumbuka isiwe imepigwa rangi au kupata ajali namba ianzie B
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Back
Top Bottom