Habari zenu wanaJF, Nimejipanga kwa mda nahitaji kupata usafiri na kati ya magari hapo juu naomba mwenye uzoefu ni lipi bora zaidi interms of durability fuel consumption na kama kuna iniherent defect common kwa mojawapo. karibuni kwa ushauri wazoefu.
Zote ni Toyota so build quality ni sawa. Avensis ni gari kubwa sawa na caldina. Allex/Runx ni corolla/sprinter hatchback kama vile vitz na platz. Allex = Toyota Japan, Avensis = Toyota UK.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.