Mademe wa jeiefu mko hivi kweli???

Mademe wa jeiefu mko hivi kweli???

KakaKiiza

Platinum Member
Joined
Feb 16, 2010
Posts
11,948
Reaction score
9,464
Nilikuwa mahali fulani office mjini mara nikaona vijana wawili wakiongea mmoja akawa anaondoka mara mwenzake akamwita!Jamaa akamjibu niache bwana mimi natafuta demu Jeiefu!!
Nikasikia roho imeripuka nikajiuliza au jamaa ananijua nikasogea karibu nao nijue kweli ananijua lakini hakuonyesha kunijua nikiwa nasubiri huduma nikasikia mwenzake anamuuliza umepata??jamaa akajibu huyu wa tatu wapo wengi!!Na niwatu makini lakini luuza kishenzi!mhm!!
Kweli nikajisikia kama nimemwagiwa maji maana najua hii ni familia yangu halafu imepoteza sifa nzuri imebaki na sifa mbaya eti ma looser???!!!
Nikasikia Facebook watoto wengi wapo kichuchuo wanapiga invoice sana hadi kero!!
Mimi baada ya hapo nikatoka nakuondoka zangu!!
Ila nimesikitika!
 
Dada zetu hawa hawa????!!!!!

Mmmmmh ngoja waje hapa tutasikia
 
Mkuu hii thread peleka kule MMU
Nilikuwa mahali fulani office mjini mara nikaona vijana wawili wakiongea mmoja akawa anaondoka mara mwenzake akamwita!Jamaa akamjibu niache bwana mimi natafuta demu Jeiefu!!
Nikasikia roho imeripuka nikajiuliza au jamaa ananijua nikasogea karibu nao nijue kweli ananijua lakini hakuonyesha kunijua nikiwa nasubiri huduma nikasikia mwenzake anamuuliza umepata??jamaa akajibu huyu wa tatu wapo wengi!!Na niwatu makini lakini luuza kishenzi!mhm!!
Kweli nikajisikia kama nimemwagiwa maji maana najua hii ni familia yangu halafu imepoteza sifa nzuri imebaki na sifa mbaya eti ma looser???!!!
Nikasikia Facebook watoto wengi wapo kichuchuo wanapiga invoice sana hadi kero!!
Mimi baada ya hapo nikatoka nakuondoka zangu!!
Ila nimesikitika!
 
shindwa na ulegeee
kwanzxa huku kuna mademu wangapi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom