ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,592
Habarini marafiki
Ni fursa pekee na wakati muafaka wa wewe kutaka kitu bora zaidi
hivyo usiisite na kutangatanga ama kuhangaika huko na kule kutafuta
ni wapi shughuli yangu naweza kuifanya, na ni nani anaweza kufaa
kuisherehesha sherehe hii, shughuli hii , ikafana na kupendeza.
Huna budi kutafuta kilicho bora zaidi Mc Ladyf niko kwa ajili yako
kwa sherehe za Harusi, sendoff, kitchen party, uparikio na kipaimara
kwa shughuli za misibani, function za kiofisi na mengineyo mengi
usisite kuniita nami nitafanya sherehe yako kuwa nzuri na bora
Vile vile nafanya huduma za kupamba kwenye kumbi mbalimbali,
natengeneza keki za harusi, birthday na shughuli mbalimbali
natengeneza kadi za harusi, nandaa year planner n.k.
karibu kwa huduma hizi
angalia mojawapo ya sample hapo chini