BEI YA TECNO L3 na TECO M3 kwa dar

BEI YA TECNO L3 na TECO M3 kwa dar

Chele2

Senior Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
102
Reaction score
5
samahani wadau,naomba nijuzwe bei ya sim tajwa hapo juu kwa mlio dar,nahitaki kunua ila huku mikoan ni kama wanatuuzia bei juu sana! natnguliza shukran
 
Kwani wewe uko mkoa gani? nimeona dsm maduka mengi wanaanza na 150, hata huku mbeya maduka mengi yanaanza na 150 lakini hapa hapa mbeya kunamaduka yaanauza125
 
Kwani wewe uko mkoa gani? nimeona dsm maduka mengi wanaanza na 150, hata huku mbeya maduka mengi yanaanza na 150 lakini hapa hapa mbeya kunamaduka yaanauza125

Ahsante mkuu,mie nipo mtwara! hiyo bei n kwa simu yoyote kati hzo nlizotaja? yan zote n bei moja?
 
Back
Top Bottom