jashmoe32 JF-Expert Member Joined Dec 4, 2012 Posts 1,099 Reaction score 438 Oct 24, 2013 #1 Habari wanajamii, Natafuta kiwanja kwa ajili ya Makazi eneo la Morogoro chenye thamani ya Millioni 2 mana ndo uwezo wangu Mungu alionijalia. Wenu Mtiifu
Habari wanajamii, Natafuta kiwanja kwa ajili ya Makazi eneo la Morogoro chenye thamani ya Millioni 2 mana ndo uwezo wangu Mungu alionijalia. Wenu Mtiifu
Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Oct 24, 2013 #2 kipo kiwanja eneo la kasanga (kama unaelekea mzumbe) ukubwa 22*23 bei itabid uongeze kidogo.
twatwatwa JF-Expert Member Joined Sep 19, 2011 Posts 2,066 Reaction score 421 Oct 24, 2013 #3 eneo gani unataka ? Kwa bei iyo utapata kisichopimwa