Msaada wa hostel maeneo haya;

Msaada wa hostel maeneo haya;

integral sign

Senior Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
160
Reaction score
13
Natafuta hostel maeneo ya ilala, chang'ombe, kariakoo, au sehemu nyingine ambayo naweza pata usafiri wa kufika posta moja kwa moja. Masharti:::: kuwe na maji, ulinzi. Nitajieni ofa
 
masharti yako hayo jiandae kulipa gharama tu. Mujini hapa. Ukiambiwa laki 6 kwa mwezi using'ake
 
Tatizo sio pesa ndio maana cjatoa limit ya pesa. Ila lazima value for money iwepo
 
Back
Top Bottom