Nyumba inapangishwa maeneo ya mlimani city

Nyumba inapangishwa maeneo ya mlimani city

BAGAH

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
4,523
Reaction score
1,060
nyumba poa yenye vyumba vitatu parking ya kutosha na umeme na maji vya uhakika...bei poa tunaongea..maelezo zaidi nipigie 0713339910
 
Mlimani city karibu na upande wa Survey? NIce Guest House? Cafe Latino au kwa Judge kule?

Please be specific
 
ni upande huu wa survey km unafahamu sehemu moja zamani ilikuwa steers na sasa ni SOWERS MEAT...just near the place...au kwa wale wanaoijua DDC mlimani park.ni karibu sana.
 
ni upande huu wa survey km unafahamu sehemu moja zamani ilikuwa steers na sasa ni SOWERS MEAT...just near the place...au kwa wale wanaoijua DDC mlimani park.ni karibu sana.

Mkuu, Weka bei aisee... Ikiwezekana Share Picha
 
au ndo pale ilipokuwa saluni barabarani naona wamevunja wanajenga kwa nyuma. Ndo hapo nini? Karibu kabisa na hapo sowers meat
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom