Mabreka JF-Expert Member Joined Aug 29, 2012 Posts 709 Reaction score 209 Oct 24, 2013 #1 Hi wakuu, nahitaji mziki wa ukweli wa kagari kangu, iwe inauwezo wa dvd, mp3, flash, memory card nk. Naomba ushauri ni wapi naweza pata na bei zake. natanguliza shukrani
Hi wakuu, nahitaji mziki wa ukweli wa kagari kangu, iwe inauwezo wa dvd, mp3, flash, memory card nk. Naomba ushauri ni wapi naweza pata na bei zake. natanguliza shukrani