kiwanja nauza mivumoni mil.6 mitaSqr 20*20

Umbly

Senior Member
Joined
Dec 7, 2012
Posts
118
Reaction score
2
Nauza kiwanja mivumoni 20*20 mitasqr tshs. Mil6
Barabara ipo ila umeme upo kama km1, maongezi yapo
ni PM or txt; 0656063933.utajibiwa
 
kuweni makini na haya mabandiko, huyu jamaa alishawahi kuweka hapa tangazo lake nikamtafuata baadae akaanza longolongo nokashtuka nikaachana nae, kuweni makini
 
kwani uliyekuwa unataka ni ww tu? Kuna people wengine walikuwa wanataka na nimeshawauzia alafu ilikuwa kinzudi now ni mivumoni so show some respect
 
kiwanja ni hicho hicho ulichotangaza na mimi nilikihitaji usitake nifichue utapeli wako hapa, ha
 
Nokla, please fichua fichu fichu huo utapeli ili tupone wanajf tusije kutapeliwa, utakuwa umetusaidia sana, thanks in advance
 
kiwanja ni hicho hicho ulichotangaza na mimi nilikihitaji usitake nifichue utapeli wako hapa, ha
Utapeli upi huo? kwan ww ulishapata kuonana na mimi? Na ulishafanya biashara yoyote na mimi? Nakushangaa unajifanya unajua sana kama vile nilikuonyesha,hichi kiwanja ni kikubwa sana ila kinakatwa mita hzo tu ndzo znauzwa.hakuna tapeli hapa.
 
kaka dili limeshaingia mchanga washakushtukia kaka katapeli kungine sio JF kijiwe kimenuka
 
daaah
biashara ya viwanja sasa hivi imekuwa kimeo sana. Bei ziko juu kuliko ukubwa wa viwanja vyenyewe
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom