Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Sold Out..........................................................
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Ninauza ipad 3, 16gb, 3G, Wifi supported 450k 0786 305664
0 Reactions
2 Replies
858 Views
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Wasiliana 0657781616
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Niko dar Plz PM if interested
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Toa oda yako ya kuku WA kienyeji kutoka singida piga namba0714064767
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza uyoga uliokaushwa,uko katika packet za gram 50 na gram 25,well packed,ni mtamu na umetengenezwa kutaalamu na bei yake ni nafuu.Mwenye kuhitaji anitumie PM ili nimuelekeze napatikana wapi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wadau, nauza kuku chotara wana miezi 8. Ni wakubwa wanafaa kwa kula au kufuga maana majike wanataga na majogoo wanapanda kwa wale wanaokuwa maeneo ya Posta mpya nitawaleta ijumaa kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Simu ni smartphone ina 3g,wifi,camera 3.15mp,android version 2.2 inaweza kuwa upgraded hadi 2.3, pia ina support whatsapp,instagram etc Bei LAKI NA ISHIRINI serious buyer wanicheki...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wadau nahitaji simu yenye uwezo zaid ya hii(nokia 5200) bajeti yangu ni elfu 70 plus nokia 5200. aliye tayari anicheki 0718 097972
0 Reactions
1 Replies
1K Views
VIwanja vipo kigamboni wilaya ya Temeke, ni 16km toka Feri ya magogoni , vipo katika block moja. vimeungania kimoja kina Sqm 1,357 bei ni Tsh. 17m kingine kina Sqm 1,682 bei 18.5 m vimepimwa...
0 Reactions
39 Replies
12K Views
kwa anaehitaji sim tajwa hapo.anitafute bei ni afodable uciogope.0654715457
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nina tairi 4 used, Tubeless, size 265/65 R17. Zimevuliwa kutoka Landcruiser prado mara baada ya kununuliwa. Sababu za kuuza. Aliyenunua gari aliamua kuweka tairi mpya (brand new). Hizi tairi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ipo katika hali nzuri na bei nafuu kwa anehitaji nitumie message nipo Dar! Karibu.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
websites
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Msaada kwenye tuta wanajamvi naitaji sana cm mwenye nayo ani pm .
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shamba tambarare lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa.mahali ni bunju- B mwendo wa dakika 10-15 kwa gari kutoka kwa wa athirika wa mafuriko.Bei ni millioni 28 udalali unakaribishwa pia.
0 Reactions
2 Replies
871 Views
Back
Top Bottom