Ninayo,Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
Ninayo,
Imeingia mwezi wa tisa Mwaka huu, Leta 7.0Mil
Dah bahati mbaya bajeti hairuhusu.
Dah bahati mbaya bajeti hairuhusu.
Usikate tamaa mkuu utapata tu, kwani upo wapi?
Mkuu, nipo Dar.
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
una mil 7 nikuletee?
imetembea km 36000 tu
Natafuta Suzuki Carry yenye sifa zifuatazo; km chini ya 70000, iwe pick up, Rangi nyeupe, imelipiwa ushuru na usajili. Bajeti yangu ni 6.3M. Kama kuna m2 anaweza kuniuzia ani PM tafadhari.
Nenda kaulize kwenye yard iliopo opposite na kanisa la kakobe mwenge utapata kwa hiyo bei
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us