Buying Rav4 or Disco tdi 200/300

RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
742
Likes
8
Points
35
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
742 8 35
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka kusafiri mikoani ( twice a year may be), specs ni kuwa zote ni Manual, hizo tdi ni manual pia but diesel. Ningeomba uchaguzi uwe katika fuel efficiency/consumption/running cost in general, engine efficiency, umadhubuti, na etc kwa wataalamu wangu.
 
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Messages
7,147
Likes
2,704
Points
280
C

CHAZA

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2012
7,147 2,704 280
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka kusafiri mikoani ( twice a year may be), specs ni kuwa zote ni Manual, hizo tdi ni manual pia but diesel. Ningeomba uchaguzi uwe katika fuel efficiency/consumption/running cost in general, engine efficiency, umadhubuti, na etc kwa wataalamu wangu.
Napendekeza Rav4 kwa maana ya vipuri na kuhimili mikiki mikiki
 
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
742
Likes
8
Points
35
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
742 8 35
Napendekeza Rav4 kwa maana ya vipuri na kuhimili mikiki mikiki
sawa mkuu vipi katika fuel consuption ujue vipuri huwa ni ghali ila kutegemea na uendeshaji na matunzo unaweza usione issue saana, ila hapo kwa fueling zaidi
 
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2013
Messages
1,927
Likes
48
Points
0
TCleverly

TCleverly

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2013
1,927 48 0
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka kusafiri mikoani ( twice a year may be), specs ni kuwa zote ni Manual, hizo tdi ni manual pia but diesel. Ningeomba uchaguzi uwe katika fuel efficiency/consumption/running cost in general, engine efficiency, umadhubuti, na etc kwa wataalamu wangu.
hapa unafananisha magari yaliyo kwenye class 2 tofauti...
1.compact suv
2.large suv

1.fuel consumption since LR DISCO ni ya diesel inaweza kuwa sawa tu na RAV4 ambayo ni petrol lakini engine ndogo
2.running cost LR DISCO itakuwa expensive kwenye spares
3.umadhubuti matunzo yako,zote ni gari imara
3.mwisho LR DISCO ina space na sitting capacity kubwa kuliko rav4,more comfortable than rav4 na ina proper reliable 4WD kulinganisha na rav4
 
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2009
Messages
742
Likes
8
Points
35
RealTz77

RealTz77

JF-Expert Member
Joined May 18, 2009
742 8 35
hapa unafananisha magari yaliyo kwenye class 2 tofauti...
1.compact suv
2.large suv

1.fuel consumption since LR DISCO ni ya diesel inaweza kuwa sawa tu na RAV4 ambayo ni petrol lakini engine ndogo
2.running cost LR DISCO itakuwa expensive kwenye spares
3.umadhubuti matunzo yako,zote ni gari imara
3.mwisho LR DISCO ina space na sitting capacity kubwa kuliko rav4,more comfortable than rav4 na ina proper reliable 4WD kulinganisha na rav4
Bosi TTCleverly asante sana kwa maelezo yako
 
Forum statistics

Threads 1,273,108
Members 490,297
Posts 30,471,653