kuku wa kienyeji pure

kuku wa kienyeji pure

nahitaji kama 10 hivi kwa bei ya tsh 10,000/= kila mmoja upo tayali tufanye biashara
 
Nickson wapo wapi hao kuku? Mie naishi sinza usikute wapo kibaha nikafuata kwa kuchoma petrol.
 
Back
Top Bottom