Viwanja vinauzwa kigamboni kibada! Bei nzuri

Akiri

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,445
Reaction score
217
VIwanja vipo kigamboni wilaya ya Temeke, ni 16km toka Feri ya magogoni ,

vipo katika block moja.
vimeungania
kimoja kina Sqm 1,357 bei ni Tsh. 17m
kingine kina Sqm 1,682 bei 18.5 m

vimepimwa na vina hati, vimefuatana unaweza chukua vyote 2 au ukachagua kimoja :
kwa anayetaka tuwasiliane:

Tom Real Estate Agents
+255 685 31 23 26.
 
Kigamboni kubwa Mkuu.
 
Watumishi wa wizara ya ardhi walizuia vouchers nyingi sana za viwanja vya kigamboni ili badae watulangue, na wanaendelea kufanya hivyo na kuna uthibitisho hadi leo kwamba unaweza kupata viwanja vya kibada, kisota, Mwongozo nk. kupitia wizara ya ardhi..... Huu ni ulanguzi na uhujumu uchumi

Je hivi viwanja navyo vinauzwa kwa mfumo huohuo??
 
hv kibada haipo kwenye mradi wa new kigamboni city the diamond of TZ?
 
hivi vinauzwa na wamiliki wa hivyo viwanja na sio wafanyakazi wa wizara ya aridhi . hawa wanaozwa kwa sababau zao mbalimbali.
 
kibada nayo ni kubwa sna Akiri sema wapi mkuu ili mtu ajitafakari ukweli nahitaji kiwanja
kiongozi maeneo ya kibada mjini jirani kidogo na mikwambe. kaka nikiweka wazi sana si ndiyo ntapoteza kila k2? ha!ha!
 
hv kibada haipo kwenye mradi wa new kigamboni city the diamond of TZ?
haipo mradi unaishia ukingoni, na huwa wanasema upimaji mpya huwa unahesimu upimaji uliopita,.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom