ndugu wana jf nilikuwa na mahitaji ya pump ndogo ya kumwagilia hvyo kATIKA PITAPITA ZANGU NIMEKUTA PUMPU AINA YA HONDA GX 120 na kipenyo cha inches kama tatu kwa laki nne ila ni used .swali langu...
Naomba wanajamii kwa wenye uelewa wa magari, kati ya Rav4 ya 1997-1998 na landrover tdi (200/300) ipi yaweza kuwa choice nzuri, moslty safari za mjini (twon routes)na mara chache sana kwa mwaka...
Husika na heading hapo juu.
Kwa sasa nimejipanga na laki 900,000 ila iwe ndani ya box na fully accessories zake.
Kama used ni sawa ila iwe katika hali nzuri.
Pia iwe genuine, kwa kuwa...
HABARI JF, ninauza gari.
TOYOTA HILUX DOUBLE CABIN, D4D ENGINE,
MWAKA 2005, 2400CC,
AUTOMATIC TRANSIMISSION
IPO POA, HAINA TATIZO LOLOTE,
INAPATIKANA ARUSHA KWA SASA,
BEI NI 24 MILLION...
MADE IN TOKYO-JAPAN
HP: HP XW4400 Workstation
CPU: Intel(R) Core(TM) Duo 6600@ 2.40GHZ
HDD: 250GB
RAM: 2GB
USB: 6Ports
FIREWIRE: 3ports for capturing Videos from Video cameras
Video Editing...
Kwa wale watakao hitaji ramani za nyumba, mimi ni Architect lakn bado siawa registered.. So kwa sasa nafanya residential Houses peke yake. Tuwasiliane kwa wale watakaokuaintrested, tuwasiliane...
Salama wana jamvi? kwa wenye uzoefu na biashara ya kuuz maji ya kisima baada ya kuchima kisima , naomba kupata uzoefu/maelekezo ya vitu hivi; 1. Baada ya kuchima kuna gharama au/na kibali...
Nauza kuku Chotara wapatao 45 kwa bei ya kutupa kabisa Sh300,000/= Hii ni sawa na kama 6,600 kwa kila kuku... Kuku wana umri wa Miezi minne na nusu na baadhi miezi mitatu na nusu, wamechanjwa...
Its holiday season people would like to get out of city n get fresh air back upcountry or elsewhere. It is a rime u may need a family car to pack all your stuff, and Voxy 2003, cc 1998, 4wd,wih...
Special Christmas offer!!!!
We provide:
1 - Domain Registration
2 - Website Hosting
3 - 5 Pages Website design
All these 3 things for only Tshs. 500,000/=
Please contact SPOT Revista
E-mail...
MAHALI: Nje kidogo ya jiji la DSM. Mkoa wa Pwani, Vikindu kijiji cha Kazole. Ukitokea Kongowe unashuka Vikindu kisha unaenda upande wa kushoto ukiiacha barabara kuu, takribani km 1, hadi hapo...
kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam. Kiwanja kipo sehemu nzuri.kutoka bara bara kubwa kwenda kwenye kiwanja ni nusu kilomita 1 kuna bara bara nzuri inayopitika kwa gari. Umeme upo karibuni...
We are a printing and marketing company in Dar Es Salaam, Tanzania. We do all types of printing at cheaper rate. We provide below services:
Business Card printing
Leaflets
Brochures
Stickers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.