brand new mini laptop inahitajika haraka

brand new mini laptop inahitajika haraka

Mwanaharakati2013

Senior Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
170
Reaction score
15
wakuu.. kwa wauzaji wa laptop ninahitaji mini laptop kwa muuzaji yeyote anipe specifications na bei. ni kwa matumizi ya kawaida tu sina matumizi makubwa nayo.

Natanguliza shukrani.
 
ingia mlimani city kuna duka lipo karibu na shoprite wanauza kwa tshs.450,000/=
 
Back
Top Bottom