Nyumba inauzwa-mafinga Iringa

kisungu

JF-Expert Member
Feb 20, 2013
788
264
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo, maji ukichimba mita nne tu unapata, umeme hauhitaji nguzo, upo karibu. Kama uko tayari usisite kuwasiliana bei ni maelewano inaanzia 26,000,000/= call 0759517174 for serious buyer only, Mafinga Kinyanambo B
 
Attachments

  • IMG_20140115_130619.jpg
    IMG_20140115_130619.jpg
    313.3 KB · Views: 68
  • IMG_20140115_130254(3).jpg
    IMG_20140115_130254(3).jpg
    240.6 KB · Views: 78
  • IMG_20140115_131109.jpg
    IMG_20140115_131109.jpg
    692.2 KB · Views: 74
  • IMG_20140115_131420.jpg
    IMG_20140115_131420.jpg
    334.1 KB · Views: 63
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet na washroom, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo, maji ukichimba mita nne tu unapata, umeme hauhitaji nguzo, upo karibu. Kama uko tayari usisite kuwasiliana bei ni maelewano inaanzia 25,000,000/= call 0759517174 for serious buyer only, sijaweka picha kama unahitaji fika site kabisa.
Mh!inaonekana umelenga kuwauzia watu wa Mafinga pekee,we unafikir mteja kutoka mbali atavutiwa kuja site kwako bila kuona japo picha ya nyumba yenyewe.
 
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja ni masters, public toilet na washroom, ina sebule kubwa, jiko, store pamoja na dining. Haijaisha bado finishing, kiwanja kimepimwa na ni kikubwa unaweza kujenga nyumba nyingine kama hiyo, maji ukichimba mita nne tu unapata, umeme hauhitaji nguzo, upo karibu. Kama uko tayari usisite kuwasiliana bei ni maelewano inaanzia 25,000,000/= call 0759517174 for serious buyer only, sijaweka picha kama unahitaji fika site kabisa.

Kwa msaada zaidi, Mafinga sehemu gani hiyo nyumba ipo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom