Nauza shamba

I

igunga99

New Member
3
0
Shamba tambarare lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa.mahali ni bunju- B mwendo wa dakika 10-15 kwa gari kutoka kwa wa athirika wa mafuriko.Bei ni millioni 28 udalali unakaribishwa pia.
 
Kitope

Kitope

JF-Expert Member
236
195
Shamba tambarare lenye ukubwa wa hekari mbili linauzwa.mahali ni bunju- B mwendo wa dakika 10-15 kwa gari kutoka kwa wa athirika wa mafuriko.Bei ni millioni 28 udalali unakaribishwa pia.
Mkuu M.28 unauza ama unatangaza :)
Dah
 
P

Pandamlima

Senior Member
145
195
naomba namba yako tuongee hiyo biashara
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom