Nauza Uyoga(Mushroom)

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,240
2,000
Nauza uyoga uliokaushwa,uko katika packet za gram 50 na gram 25,well packed,ni mtamu na umetengenezwa kutaalamu na bei yake ni nafuu.Mwenye kuhitaji anitumie PM ili nimuelekeze napatikana wapi katika jiji la Dar es salaam na kama kuna atakayehitaji mwingi na atakuwa karibu na eneo ninakoishi nitamletea mpaka alipo,karibuni.
 
Manmaji

Member
Mar 21, 2012
26
0

Muheshimiwa stephot nauhitaji sana huo uyoga,ni ule ambao naweza kutengeneza hata soup!naomba nijue na bei zake tafadhali.
 
Last edited by a moderator:

stephot

JF-Expert Member
Mar 1, 2012
11,240
2,000
Muheshimiwa stephot nauhitaji sana huo uyoga,ni ule ambao naweza kutengeneza hata soup!naomba nijue na bei zake tafadhali.
Ndio mkuu unaweza kutengeneza soup,unaweza pika kama mboga haina tofauti na kula nyama unapopikwa kama mboga na mapishi mengine mengi utakayokuwa unafahamu,bei nakutumia kwenye PM.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom