Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wasiliana nami kwa namba 0713109099/0758109099
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya Muwa mwenye nayo au ndugu yake anayo au anajua zinapatikana wapi tuwasiliane. Nipo Mikumi Kilosa
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kwa wadada naomba mnisaidie ni wap nitapata msusi mzuri wa yeboyebo.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Wakuu nahitaji mbao za mmninga au mkongo kwa ajili ya frame za milango au kama Kuna mtu anatengeneza frame tuwacliane
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Natumai mu-wazima wadau. Me nilikuwa nina shda ya kutaka kujua ubora wa passo na uwezo wake kutembea umbali mrefu because kwa sasa natumia premio lakini nataka kubadilisha gari. Ahsanteni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari, Natafuta eneo kwa ajili ya kufuga kuku, bata na kama itawezekana basi hata mbuzi au nguruwe. Mimi naishi Dar. Eneo liwe popote ndani ya Dar au Kisarawe, mapinga, kibaha, vikindu na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tafadhali mwenye kujua kuhusu hizi mashine za kuchomea aniambie. naweza pata wapi ka kwa bei gani.
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Hp probook 6560b i5, 2.5ghz 320gb, 1600mb intel hd graphic card price tshs 530000
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Gari aina ya toyota ist inauzwa bei tsh 10m,imelipiwa kila kitu namba ndio zimewekwa leo. Picha zinakuja soon.
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Natafuta mafundi wa kutengeneza system za biogas kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe. Slurry pits (mashimo ya tope la ng'ombe yapo mawili: kila moja lina 300cm urefu na 250cm kipenyo). Nahitaji gas...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Natafuta afisa mifugo aje kuanzia leo, awe anakuja kuangalia ng'ombe wangu na kutoa ushauri juu ya matunzo na matibabu. Ng'ombe wapo Dar (Pugu-Viwege). N.B: (1)Awe tayari kuja site na kukaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Unafahamu kwamba kupendekeza biashara ulizozipendelea ni mradi wenyefursa ya kukupatia kipato cha uhakika kila mwezi milele? Fuatilia hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Heshima wana JF, Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali za ufundi,tumeamua kuungana na kufungua workshop kwa ajili ya,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL WORK AND CAR WASH,Tupo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta dalali mwenye uzoefu na network upande wa kariakoo. Nahitaji duka/frem. Naomba kama wewe ni dalali au unaye dalali unayemfahamu mwenye kushughulika Kariakoo nipe contacts zake hapa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Natanguliza salamu, Mwanajf mwenzenu nimefungua duka la spares za magari. Nadeal na Subaru,Toyota(altezza). Napatikana k'koo mtaa wa swahili/rufiji. Karibuni woooote!!
0 Reactions
2 Replies
1K Views
2002 Ina 1245Cc 126000km Full a/c Imetunzwa vizuri New tyres Alloy wheels Engine safi Best car for any safari Bei 6.3 mil Serious buyers only
0 Reactions
8 Replies
3K Views
RAM: 6GB HARD DISC: 700 CPU : intel Core i3 /2.53Ghz Number of cores: Dual-Core Camera; YES Wireless: YES Betry run time: 5hrs PRICE: 600,000Tsh Call:: 0757 585 012
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa dodoma Tanzania, ipo Area A, karibu na shule ya Chamwino. Sifa za nyumba Vyumba vinne vya kulala, Sebule jiko store Dinning iko ndani ya fence na ina geti ina uwanja wa kutosha...
0 Reactions
0 Replies
899 Views
Nauza hiyo simu nimepata simu nyingine sina sababu ya kuwa na simu mbili. Piga 0717-706259 kwa anaye hitaji.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu ninapangisha chumba na sebule maeneo ya Tungi Kigamboni kwa kodi ya sh. 60,000 kwa mwezi. Maji na umeme vipo na nyumba ni nzuri. Mwenye kuhitaji apige: 0686 555726
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom