I Ikimbu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 301 Reaction score 32 Jan 10, 2014 #1 Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya Muwa mwenye nayo au ndugu yake anayo au anajua zinapatikana wapi tuwasiliane. Nipo Mikumi Kilosa
Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya Muwa mwenye nayo au ndugu yake anayo au anajua zinapatikana wapi tuwasiliane. Nipo Mikumi Kilosa
Mpenda kazi Senior Member Joined Dec 13, 2013 Posts 188 Reaction score 113 Jan 11, 2014 #2 Kama ikiwa imetumika unataka kuinunua au?
Mpenda kazi Senior Member Joined Dec 13, 2013 Posts 188 Reaction score 113 Jan 11, 2014 #3 Kama ikiwa imetumika utataka kuinunua au?
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 444 Jan 11, 2014 #4 Zinapatikana SIDO Dar, nitumie PM nikakununulie nikutumie
Twilumba Platinum Member Joined Dec 5, 2010 Posts 13,760 Reaction score 16,880 Jan 11, 2014 #5 Ikimbu said: Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya Muwa mwenye nayo au ndugu yake anayo au anajua zinapatikana wapi tuwasiliane. Nipo Mikumi Kilosa Click to expand... Ikimbu msalmie maulid mrisho dakawa! mwambie J3 nakuja mikumi Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Ikimbu said: Natafuta mashine ya kukamulia juisi ya Muwa mwenye nayo au ndugu yake anayo au anajua zinapatikana wapi tuwasiliane. Nipo Mikumi Kilosa Click to expand... Ikimbu msalmie maulid mrisho dakawa! mwambie J3 nakuja mikumi
Elijah JF-Expert Member Joined May 28, 2012 Posts 1,663 Reaction score 424 Jan 31, 2014 #6 Umepata machine ndugu?
Bavaria JF-Expert Member Joined Jun 14, 2011 Posts 53,109 Reaction score 53,630 Jan 31, 2014 #7 Inauzwa 400k zanzibar. Nlisikia hvyo Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk