Da Pretty
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 3,059
- 1,154
Habari,
Natafuta eneo kwa ajili ya kufuga kuku, bata na kama itawezekana basi hata mbuzi au nguruwe.
Mimi naishi Dar.
Eneo liwe popote ndani ya Dar au Kisarawe, mapinga, kibaha, vikindu na mkuranga.
Kuwe na majirani wanaoishi hapo yaani pasiwe katikati ya pori
Upatikanaji wa maji usiwe wa shida.
Kwa yeyote mwenye eneo anitumie PM kwa mawasiliano zaidi