Opening soon

Opening soon

Chinga boy

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
412
Reaction score
103
Heshima wana JF,

Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali za ufundi,tumeamua kuungana na kufungua workshop kwa ajili ya,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL WORK AND CAR WASH,Tupo Toangoma along Kigamboni Road Utaona Bango limeandikwa NDANDA ALUMINIUM AND GLASS iki include na kazi zingine.Hivyo wadau tunaomba support zenu tutafanya kazi zenu kwa weledi na kwa uaminifu.

Operation itaanza trh 2/2/014 karibu sana.
 
big up sana mkiwa series mtatoka muhimu ni nidhamu kazini na uaminifu kwa wateja wenu!!
 
Heshima wana JF,

Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali za ufundi,tumeamua kuungana na kufungua workshop kwa ajili ya,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL WORK AND CAR WASH,Tupo Toangoma along Kigamboni Road Utaona Bango limeandikwa NDANDA ALUMINIUM AND GLASS iki include na kazi zingine.Hivyo wadau tunaomba support zenu tutafanya kazi zenu kwa weledi na kwa uaminifu.

Operation itaanza trh 2/2/014 karibu sana.

Pamoja sana!
 
Hongera sana,mufanye kazi kama timu hapo mtafanikiwa lakini mukianza kulewa mafanikio na kuanza ubinafsi jueni hamtafika hata mwaka,pia muwe na kanuni na katiba ya huo umoja wenu ambayo ndio itakuwa dira ya mafanikio,lazimamukwekeana utaratibu utakokubalika na kufuatwa na kila mmoja,nawatakia kila la kheri katika mwanzo wa safari ndefu ya kujikomboa kiuchumi na mafanikio ya maisha,msikate tamaa kwani mwanzo ni mgumu na mtakwazika sana lakini wahenga walisema penye nia pana njia.
 
Heshima wana JF,

Sisi ni vijana wenye taaluma mbalimbali za ufundi,tumeamua kuungana na kufungua workshop kwa ajili ya,ALUMINIUM AND GLASS,METAL FABRICATION,ELECTRICAL WORK AND CAR WASH,Tupo Toangoma along Kigamboni Road Utaona Bango limeandikwa NDANDA ALUMINIUM AND GLASS iki include na kazi zingine.Hivyo wadau tunaomba support zenu tutafanya kazi zenu kwa weledi na kwa uaminifu.

Operation itaanza trh 2/2/014 karibu sana.

Mkuu matangazo kama haya siku nyingine weka mawasiliano ya simu hata barua pepe. Itasaidia sana. Hongereni.
 
Back
Top Bottom