Wapi naweza pata mbao kwa ajili ya fremu za milango

Wapi naweza pata mbao kwa ajili ya fremu za milango

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Wakuu nahitaji mbao za mmninga au mkongo kwa ajili ya frame za milango au kama Kuna mtu anatengeneza frame tuwacliane
 
Kama utahitaji na Top (milango) ya mninga tu niPM PRICE NI 220,000 Tu kwa mlango...
 
Mbao zote hiz mpaka uje uweke tangazo humu! Utakuta fremu 5
 
Back
Top Bottom