CHE GUEVARA-II
JF-Expert Member
- Jun 17, 2010
- 571
- 158
Natafuta mafundi wa kutengeneza system za biogas kwa kutumia kinyesi cha ng'ombe.
Slurry pits (mashimo ya tope la ng'ombe yapo mawili: kila moja lina 300cm urefu na 250cm kipenyo).
Nahitaji gas kwa ajili ya matmizi yafuatayo:
(1)Kupikia
(2)Kuwashia taa
(3)Kuendesha generator ya umeme
(4)Kutumika ktk friji (refridgerator) na jokofu (freezer)
(5)Kuendesha pump ya kusukuma/ kuvuta maji
Pia mtaalamu huyo awe na uwezo wa kuniunganisha na wanaouza vifaa hivyo vitakavyotumia nishati hiyo ya gesi (jiko, friji, jokofu, taa, generator, pump n.k) - siyo kufunga system tu na kuondoka.
Asante!