Nauza Samsung Galaxy s 2

Nauza Samsung Galaxy s 2

Strawberry

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
274
Reaction score
108
Nauza hiyo simu nimepata simu nyingine sina sababu ya kuwa na simu mbili.
Piga 0717-706259 kwa anaye hitaji.
 

Attachments

  • 2.jpg
    2.jpg
    5.6 KB · Views: 150
  • 3.jpg
    3.jpg
    6.4 KB · Views: 315
  • 1.jpg
    1.jpg
    3.1 KB · Views: 143
galayx s2 iko makini sana,nina uhakika atakae nunua hata jutia
 
Kwa anae hitaji nauza kwa shiling laki tatu na nusu 350,000/=

Ni simu nzuri sana kwa matumizi.
 
mkuu samahan hiyo yako haina kawaida yaku stack stack mana nilikua nayo moja ikaibiwa dah yani nilikua naitumia nifanyaje nilivyo nunu clone 3 nikaona nibola kuliko je iyo iko vizuri najamangu nataka nimwelekeze muwasiliane kama iko vizuri mkuu ya haina ilo tatizo la kustack stack
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom