Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana. Tunauza cover za sofa na za bed cover.
Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni ukitaka kujua bei ya chochote hapa. Nipigie 0699 227942...
Offer.
Kwa yeyote mwenyewe pikipiki ya umeme zile ndogo (electric scooter) used anayeiuza au hana uhitaji nayo kwa sasa na anaiuza hebu anicheki hapa nahitaji kwa matumizi ya nyumbani...
Boxer bm150
Haina tatizo lolote unapiga starter unaondoka
Nzuri sana kwa wenye maduka makubwa ya jumla kwa ajili ya usambazaji
bei Tsh 680,000
0658643636 Mbezi Magufuli stand
Habari wakuu, kwa mahitaji ya viwanja Dar , karibu uhudumiwe na ABC properties, kwa malipo ya cash au kidogo kidogo, kuna viwanja vya
Mbagala mvuti
cash ,sqm 1=13000
miezi 18, sqm 1=15000
miezi...
Habari wana jf, nina kipengere nimeona niuze laptop yangu ambayo ni mpya kabisa haina hata mchirizi wala mkwaruzo.
Hp corei7 proc up to 4ghz gen 10 ram 8gb ssd 1tb 15.6' Bei yake ni 1.5Mil...
Habari zenu wakuu
Nahitaji kuondoa mistari kwenye flat screen ya TV yangu.
Kuna hii huduma ya LCD LED OLED etc screen bonding ambayo ndiyo suluhisho.
Jee, kwa anayejua, niende wapi kupata...
Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii.
Brand: LG LED TV
Size: 43inch
Price: Tzs 350,000
Inafanya kazi vizuri sana with super clear...
NEW NEW NEW
HAINO TEKO COMBO
GERMANY [emoji629]
[emoji383] 120,000:TSH
[emoji390]0713579248
ORIGINAL FROM GERMANY
HIGHER QUALITY
UNAPATA SAA
UNAPATA MIWANI
WATER RESIST[emoji98]
*UNACONECT...
Heshima yenu wakuu.
Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza...
Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni.
Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course...
TUNATENGENEZA FLAT TV ZOTE
TUNABADILI TAA
TUNABADILI CARD
TUNATENGENEZA PLASMA TV
LCD TV
TUNAFUNGA GPS KWENY TV YKO
TUNABADILI VIOO
TUNAUZA POWER SUPPLY ZA TV
MBALI MBALI
TUNAFUNGA AIR...
Kwema wana JF.
Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali.
Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda...
Habari za mchana wakuu.
Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.
Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k...
Habari za humu wana jamii,
Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka...
Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa.
Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.