Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Simu iphonex g64 battery health100..face ID inayo lisit yake ipo bei 350,000
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Wakuu habari. Store ndogo sqm 18 hadi sqm 25 inahitajika iwepo maeneo ya kariakoo, Magomeni au Keko kwa mwenye kuweza kufahamu au kuniconnect tafadhali nicheck inbox.
1 Reactions
6 Replies
626 Views
Huduma ya kusafirisha mizigo mikubwa na midogo kutoka Dar kwenda mikoa yote Tanzania ipo hapa. Tunatuma mizigo kwa njia ya ndege,bus na malori. Huduma zetu ni nafuuu. Kabisa na uhakina usalama...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hellow Guys! Mmeshindaje? Poleni na mahangaiko ya kila siku. Wadada nina mambo mazuri sana. As we know mwanamke ni pambo lazima liwake na kupendeza muda wowote ili liendelee kuvutia. Jamani nina...
10 Reactions
86 Replies
4K Views
Nawakilisha Dawa za binadamu na vifaa tiba
1 Reactions
15 Replies
9K Views
Nyumba inauzwa viwanja viwili ndani ya fence . Vyumba vya Kula 2 self Chumba Cha Kulala Cha nje 1 Sebule na dinnning Public toilet Fence Eneo 57*35 Location. Bendera tatu /BugandoHospital - Kona...
1 Reactions
3 Replies
599 Views
Simu ipo katika hali nzuri haisumbui choxhote Bei 150000 Ram2gb Storage gb32 Line 2 4g Fingerptint 5000 battery Clean camera 0627474141 Pugu dsm
0 Reactions
7 Replies
838 Views
Nahitaji mtu mwenye akili na msomi ambaye nataka awe mshauri mkubwa wangu kwa mambo mbali mbali ya maisha yangu Kama uko tayari ni text dm Tuongee mambo mengine Niko serious bro’s
6 Reactions
14 Replies
1K Views
Hello sweethearts. Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story ...Nina million tano hapa. Naplan kiwanja Cha 15/20 Halafu fundi anijengee Apo...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
IPHONE 14 PRO MAX GB 256 [emoji736]BADO MPYAA IPO KWENYE CLEAN CONDITION BATTERY [emoji367] 100% FACE ID [emoji736] TRUE TONE [emoji736] [emoji3541]2,440,000 TU [emoji736]MUUZAJI NI MIMI...
7 Reactions
65 Replies
4K Views
Habari wakuu, Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Call 0628880380 OFFER kwa 270tsh Google Pixel 4a 5G-Resolution 1080 x 2340 pixels,-Android 14-128GB storage -6GB RAM
1 Reactions
5 Replies
823 Views
Shamba kubwa linauzwa Maeneo ya Vigwaza Kibaha(Coast) lenye Ukubwa wa Hekta 28.13 SHAMBA hilo linagusa Rami iendayo Morogoro. SHAMBA hilo linaumeme Mkubwa wa Viwanda 33kv na Maji ya kutosha...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Je, wewe ni mmiliki wa gari binafsi, bodaboda, bajaji, au una biashara yenye magari mengi? Tracking ya magari sio anasa tena – ni haja! 🔑 Kwa Mmiliki Binafsi: Jua chombo chako kiko wapi 24/7...
1 Reactions
0 Replies
587 Views
Habar. Anayejua Bei ya installation wifi na solor camera naomba anijuze. Anayefahamu jinzi ya kuziagiza nje ya inchi naomba msaada
0 Reactions
2 Replies
523 Views
Utangulizi. Idadi ya mipango miji na vijiji kina kitengo cha upimaji na ramani. Kitengo hiki kimepewa jukumu la;- ✓ Kupima ardhi na ✓ Kutayarisha ramani (survey plan) za miji na vijiji. Ramani...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya utajiri kwa wakati muafaka...
4 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza Abaya kwa bei ya Januari Tsh 30,000. Nipo Dar es Salaam
0 Reactions
2 Replies
680 Views
Habari wakuu! Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani.
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Back
Top Bottom