Kuanzia siku ya Alhamisi nitakua Mwanza kwa muda wa siku tatu, halafu nitaemda Musoma kwa muda wa siku mbili kwa ajili ya kuwaelekeza na kuwauzia watu inventory control system ambayo utaweza...
Mark X inauzwa bei poa ni mpya kabisa na imelipiwa kodi(kila kitu), engine ni 2.5, ni toleo la 2007/2008, imetembea km:550000 na bei yake ni 24m pia ni salama kabisa kwa mawasiliano zaidi...
Vipo mbezi malamba mawili na kongowe mwisho toangoma bei kuanzia mil 2 na kuendelea ukubwa tofauti havijapimwa unakatiwa kipande chako kulingana na pesa yako.
Nyumba ipo Tabata kituo Chama ina vyumba 3 kimoja ni masta, sebule, sehem ya kulia chakula na choo cha ndani. umeme upo ndani ila baadhi finishing hazijaisha.
Mawasiliano na picha whatsapp piga...
Laptop Toshiba Satelite inauzwa 300,000 tsh.
Specs:
Ram 3gb
Processor 2.30Ghz
System type 64bit
Windows 8.1
Harddisk 160gb(installed) along with 500gb (uninstalled)
Battery 4hrs.
Shule ya wasichana pekee ya Chief Ihunyo inayochukua wanafunzi wa kidato cha tano na sita turn iliyoko mkoani Mara wilaya ya Butiama eneo la Butuguri maalufu wa wenyeji wa wazanaki iliyojengwa na...
Habari ya kazi wana JF, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.
Mimi ni mtengenezaji wa Application za Android. Ninaweza kukutengenezea Android App kwaajili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.