Brodre
JF-Expert Member
- Aug 23, 2012
- 2,587
- 1,858
Kuanzia siku ya Alhamisi nitakua Mwanza kwa muda wa siku tatu, halafu nitaemda Musoma kwa muda wa siku mbili kwa ajili ya kuwaelekeza na kuwauzia watu inventory control system ambayo utaweza record manunuzi na mauzo ya bidhaa zako online, na baadaye ku access popote pale utakapokuwa.
Kwa wale watakaokua interested, nitumie PM nikupe maelekezo zaidi!
Kwa wale watakaokua interested, nitumie PM nikupe maelekezo zaidi!