Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Kiwanja kimepimwa ,
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Bei 1.3 mil,maongezi yapo baada ya mteja kuiona. Piga 0714 045 080. Karibu
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Gx100 Km 160,000 Bei 4 maelewano yapo Namba a Tuma msg,wasp au piga sim nikutumie picha Kwa anae hitaji 0656 43 66 62 Karibun
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Gari hzi ziko bandarini kwa ajili ya mnada kwa anae hitaji piga simu Tuongee mpya hazija gungwa namba Spacio white na silve 8m Carina manual na auto 9m 0656 43 66 62
0 Reactions
0 Replies
974 Views
[SIZE=3]Napenda kuwatangazia uwepo wa nafasi za vitanda kwa wanafunzi wa jinsia ya kike tu! Kwa maana ya Hostel! Eneo Mwenge, Nyuma ya Oil Com. Chumba kikubwa kina double deck Tatu Yani watu 6...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nauza simu, smartphone Lumia 520 bei Tshs. 200,00. Anayehitaji anitumie PM.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Smartphone tajwa hapo juu inauzwa kwa bei ya tsh 249,500/ 'DAR ES SALAAM, imetumika kwa muda wa wiki nne; NETWORK Technology GSM / HSPA 2G bands GSM 900 / 1800 / 1900 - SIM 1 & SIM 2...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Nawaletea first class leather ladies handbags za wadada,wake ma wifi, marafiki na yeyote anayehusika.Mzigo kama unavyoonekana hapo chini unajumuisha pochi tano. Pochi mbili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Spy Sunglasses HD Camera Eyewear for Tsh 195,000/= CONTACT: 0715 555 525 Instagram/facebook/Twitter: belighttz FEATURES 1. High Quality HD quality video camera eyewear. 2. Brilliant and...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
mwenye hii gari tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ninamilioni tano natafuta Toyota IST mwenye nayo anipm mimi niko Manyara.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Simu ni nzima haina scratches wala haijabondwa popote. naiuza haraka kwa mwenye interest nitafute kwa 0656497469. ukihitaji picha nichek kwa 0763969066 whatsapp
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Nauza machine ya Maxi Malipo kwa Anayehitaji Ani PM tafadhali..!
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana Jamii Forums. Ni nauza smartphone Tecno R7 iliyotumika miezi sita kwa bei ya tshs laki mbili na elfu ishirini (220,000/=) maelewano yapo. Imepasuka kidogo kioo ila inatumika vizuri...
0 Reactions
13 Replies
10K Views
waungwana simu tajwa hapo juu inahitajika iwe kwenye condition nzuri kabisa isiwe na scratches au clarks. bajeti ni 400,000
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF natafuta generator used lilolo kwenye hali nzuri kwa ajili ya kununu a kukodisha kwa mwenye nalo naomba aweke tarifa zake hapa na naweza kuliona Generator linatakiwa liwe liafanya...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rejea hio tittle hapo juu, gari aina ya Suzuki Carry 4WD inahitajika, kwa yeyote anayejua mahala pa kuipata kwa bei nafuu kidogo anakaribishwa, it's urgent need.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauza iphone 4 kwa bei ya 150,000 ina tatizo la mic na crack kidogo kwa nyuma nipo Dar es salaaam
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Gari aina ya RAV 4 inatafutwa iwe haijafanyiwa matengenezo makubwa, imelipiwa kodi na inatembea.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichawa kinavyojieleza mwenye nayo aweke picha na detail zake zote hapa na contact zake.Gari Iiwe Dar es salaam ili nije kuiona na kuikagua. Karibuni.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom