Pata Android App kwaajili Ya Blog yako

Pata Android App kwaajili Ya Blog yako

Kiparaa

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2012
Posts
384
Reaction score
114
Habari ya kazi wana JF, poleni kwa mihangaiko ya hapa na pale kuhakikisha kila kitu kinakuwa sawa.

Mimi ni mtengenezaji wa Application za Android. Ninaweza kukutengenezea Android App kwaajili ya Blog yako. App hiyo itamrahisishia mtumiaji kupata habari yoyote unayoipost kwa haraka na urahisi zaidi kwani itamtaarifu kila uwekapo Post kwenye blog yako, pia itakusaidia kuongeza idadi ya Viewers/watembeleaji katika blog yako.


Gharama za kukutengenezea App hii ni nafuu sana.

Hizi ni baadhi ya screen shots za moja ya kazi zangu.


 
blogger is on google store..... sijui yako ina nini hasa
 
Nahitaji huduma yako, ila APP kwa ajili ya WEBSITE yangu if possible,
nicheki PM au mtu yoyote mwenye kuweza kufanya hiyo kazi anicheki PM.
ASANTE.
 
Safi Sana Kwa Ushauri Wako

Kutoka kwa kijana wenu mtulivu
 
Back
Top Bottom