Passso mpya haija sajiliwa 7.3m

Passso mpya haija sajiliwa 7.3m

starson85

Senior Member
Joined
Jan 19, 2015
Posts
146
Reaction score
14
Passo chases
Cc 990
2005
Silver
Km 40000
Piga simu 0656 43 66 62
Mzigo mpichii wahi uchukue gari
 
Attachments

  • picmix-122015-85455.jpeg
    picmix-122015-85455.jpeg
    19.2 KB · Views: 389
Hii GARI naweza kwenda nayo Mwanza?

mwanza hapo tu, why isiende??

magari ya aina zote ya zambia, malawi, congo yanashukia bandari ya dsm kama transit cargo.

na baada ya kushuka bandarini yanaendeshwa na madereva wa IT mpaka nchi zao ( final destination).

sasa piga hesabu safari ya dar mwz km 1200 na safari ya dar lusaka, dar-lubumbashi, dar-blantyre, wapi nu mbali??

maana passo kila siku zinashuka bandarini na zinaendeshwa mpaka final destination
 
Ahsante mkuu kuna MTU alinitisha eti engine zake haziwezi mudu safari ndefu...
RRONDO na MANI karibuni kwa views zenu...
 
Last edited by a moderator:
Kwanini haiwezekani mkuu?

Nimewahi kwenda nayo dodoma ilibidi nifike chalinze tukapumzika 1hr,kufika morogoro tukapumzika 1hr,kufika Gairo tukapumzika 1hr ndio tukamalizia Dodoma
Kiufupi engine yake ni ndogo sana inachemka haraka sana.
Sasa wakati narudi DSM nikaamua kuikimbiza fasta maana nilichelewa kuanza safari basi ile naiacha Moro tu ikazima.kucheki control box imepata short,na vitu vidogovidogo vimezingua.
 
Ahsante mkuu kuna MTU alinitisha eti engine zake haziwezi mudu safari ndefu...
RRONDO na MANI karibuni kwa views zenu...

Kaka hizo ni lugha za biashara tu Mimi iliniharibikia njiani mwezi January mwaka huu.
Watu waliniambia hivyohivyo kabla sijaondoka nikawa mbishi
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi kwenda nayo dodoma ilibidi nifike chalinze tukapumzika 1hr,kufika morogoro tukapumzika 1hr,kufika Gairo tukapumzika 1hr ndio tukamalizia Dodoma
Kiufupi engine yake ni ndogo sana inachemka haraka sana.
Sasa wakati narudi DSM nikaamua kuikimbiza fasta maana nilichelewa kuanza safari basi ile naiacha Moro tu ikazima.kucheki control box imepata short,na vitu vidogovidogo vimezingua.

Aisee ya kweli haya?
 
Aisee ya kweli haya?

Ni kweli mkuu.
Kama hauna haraka na safari tembea nayo maana advantage yake ni kwamba unatumia mafuta kidogo mno.
Maana passo inatumia Lita 1 kwa km 15 hivyo Dodoma nilitumia kama Lita 30 kwa 1800 ni kama 54000.
Yaani kama morogoro kwenda na kurudi ni kama mafuta ya 40000 tu.
 
Juzi kati nilikua natafuta ball joint za Passo asee haziji kama ball joint ila zinakua Complete na mikono ati laki unusu kwa moja duh!
 
Ahsante mkuu kuna MTU alinitisha eti engine zake haziwezi mudu safari ndefu...
RRONDO na MANI karibuni kwa views zenu...

Inaweza kwenda lakini inabidi uzingatie mwendo sio zaidi ya 80kph vinginevyo ita overheat.
 
Last edited by a moderator:
Nimewahi kwenda nayo dodoma ilibidi nifike chalinze tukapumzika 1hr,kufika morogoro tukapumzika 1hr,kufika Gairo tukapumzika 1hr ndio tukamalizia Dodoma
Kiufupi engine yake ni ndogo sana inachemka haraka sana.
Sasa wakati narudi DSM nikaamua kuikimbiza fasta maana nilichelewa kuanza safari basi ile naiacha Moro tu ikazima.kucheki control box imepata short,na vitu vidogovidogo vimezingua.

Swadakta mkuu kuna watu wanaongea bila fact, kifupi passo ina engn ndogo sana na imebanwa sana ndio maana inawahi sana kuchemka,

tofauti na gari ndogo zingine kama vitz ect.
 
Aisee ya kweli haya?

mkuu hivyo ni vigari vya misele ya town, safari ndefu kitaenda ila inabidi ukabembeleze huwezi kukamua kama unavyokamua brevis au mark x....sasa ndio maana unaambiwa haifai kwa safari ndefu sio kama haitafika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom